Cheki na ngoma mpya iliyofanywa na Navy Kenzo na beat kufanywa na Nah Real him self
Kalinjilainfo.blogspot.com
Thursday, June 19, 2014
Friday, May 16, 2014
NEW JOINT:Lil Wayne-D'usse
Rapper kutoka YMCMB lil wayne aachia ngoma mpya "D'usse" fanya kuisikiliza na ku-download hapa=>http://www.hulkshare.com/fq6e0kyedq80
Dengue yaingia Zanzibar, watatu wagundulika
Watu watatu wamelazwa katika Hospitali Kuuu ya Mnazimmoja mjini
Zanzibar baada ya kushukiwa kuwa na maradhi ya homa ya Dengue
inayosababishwa na mbu aina ya “Aedes”Ugonjwa huo tayari umeingia jijini Dar es Salaam na kuathiri watu zaidi ya 400 huku wengine wakiripotiwa
Mastaa watoa yao ya moyoni ni pamoja na mpenzi wake Diamond… Wema Sepetu baada ya,kuingia TUZO ZA BET Diamond

Sunday, May 11, 2014
EXCLUSIVE:DIAMOND PLUTNUMZ AJA NA 'KITORONDO'
Baada ya kukwapua tuzo saba katika tuzo za KTML 2014,Diamond aamua kuwaonesha mashabiki wake kwamba hakubaatisha na bado uwezo anao....
Sunday, May 4, 2014
Diamond akomba Saba KTMA,FID Q,Weusi Wasumbua Hip Hop.....Tazama picha za KTMA 2014 Hapa.
Diamond Platnumz amethibitisha kuwa ndiye msanii namba moja kwa sasa
nchini Tanzania baada ya usiku wa Jumamosi kunyakua vipengele vyote zote
saba alivyokuwa ametajwa kwenye tuzo za muziki za Kilimanjaro, KTMA Diamond alikuwa ameambatana
na Mchumba wake Wema Sepetu wengine walio chukua tunzo zaid ya Moja ni
Fid Q,Weusi
Wednesday, April 30, 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)